Surah Al-A'raf (The Heights ) - Aya 91

Surah Al-A'raf (The Heights ) - Swahili - Aya 91 Aya count 206

فَأَخَذَتْهُمُ ٱلرَّجْفَةُ فَأَصْبَحُوا۟ فِى دَارِهِمْ جَٰثِمِينَ ﴿٩١﴾
Basi tetemeko la ardhi likawanyakua, na wakaamkia majumbani mwao wamejifudikiza, wamekwisha kufa.
Share