Surah Al-A'raf (The Heights ) - Aya 78

Surah Al-A'raf (The Heights ) - Swahili - Aya 78 Aya count 206

فَأَخَذَتْهُمُ ٱلرَّجْفَةُ فَأَصْبَحُوا۟ فِى دَارِهِمْ جَٰثِمِينَ ﴿٧٨﴾
Basi tetemeko la ardhi likawanyakua, na kulipo kucha wakawa majumbani mwao kifudifudi wamekwisha kufa.
Share