Surah Al-A'raf (The Heights ) - Aya 191

Surah Al-A'raf (The Heights ) - Swahili - Aya 191 Aya count 206

أَيُشْرِكُونَ مَا لَا يَخْلُقُ شَيْـًۭٔا وَهُمْ يُخْلَقُونَ ﴿١٩١﴾
Ati wanawafanya viumbe kuwa ni washirika wa Mwenyezi Mungu, nao hawaumbi, bali wao ndio wanaumbwa?
Share