Surah Al-A'raf (The Heights ) - Aya 181

Surah Al-A'raf (The Heights ) - Swahili - Aya 181 Aya count 206

وَمِمَّنْ خَلَقْنَآ أُمَّةٌۭ يَهْدُونَ بِٱلْحَقِّ وَبِهِۦ يَعْدِلُونَ ﴿١٨١﴾
Na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya uadilifu.
Share