Surah Al-A'raf (The Heights ) - Aya 159

Surah Al-A'raf (The Heights ) - Swahili - Aya 159 Aya count 206

وَمِن قَوْمِ مُوسَىٰٓ أُمَّةٌۭ يَهْدُونَ بِٱلْحَقِّ وَبِهِۦ يَعْدِلُونَ ﴿١٥٩﴾
Na katika kaumu ya Musa lipo kundi linao waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya uadilifu.
Share